Habari zilizotufikia hivi punde zinasema, Mwalimu aliyekuwa akifundisha MTH (SOKOINE UNIVERSITY OF AGRICULTURE) Amefariki dunia,Mwalimu huyo anajulikana kama MADAM MALISA aliyekuwa akiishi MAZIMBU (Solomon Mahlangu Campus).Alikuwa akisumbuliwa na ugojwa wa kansa ya koo,Alikuwa akiendelea na matibabu katika hospital ya rufaa ya muhimbili alipokuwa amelazwa