Msanii nguli wa miondoko ya hip hop hapa nchi maarufu kama ALBERT MANGWEA, maarufu kwa jina la NGWEA au MANGWEA amefariki duania akiwa huko AFRIKA KUSINI.Habari kutoka kwa rafiki yake wa karibu alipofikia zinasema kuwa MANGWEA alirud kutoka matembezini na kulala,
kilichowashangaza zaid ni kulala kwa mda mrefu wakati alikuwa na safari ya kuja nchini Tanzania,na walivyojaribu kumhamsha hakuamka,walijaribu kumkimbiza hospitali lakin hawakufanikia kwani alikuwa kashafariki,alivyolala akaputiliza kutokana na dozi kuwa kubwa mmno.
Inasemekana kilichosababisha MAGWEAR kufariki dunia ni kutokana na madawa ya kulevya, nasiku hiyo alizidisha kulala,
MANGWEA atakumbukwa kwa nyimbo zake zilizowahi kutamba kama vile, GETTO LANGU,SPEED 120,MIKASI,NISIKIZE MI,na alikuwa ni kati ya waanzilishi wa kundi la CHEMBE SQUARED ambalo maskani yake yalikuwa mkoani DODOMA, EAST ZOO.
BAADHI YA NYIMBO ZA NGWEAR ZILIZOWAHI KUTAMBA,NA KUPENDWA NA WATU WENGI.
1.MAPENZI GANI,NGWEAR & LADY DEE
2. NGWEAR "SHE GOT GWAIN"
3. TUPO JUU, NGWEAR ft STEVE
4. MIKASI, by NGWEAR ft JAY MO,RAH P
5.NIPENI DILI,NGWEAR ft DARK MASTA
6.NGWEAR, SPEED 120
RIP ABERT MAGWEA