13.12.12

FOLEN YA KUTISHA NA HAKUNA GAR ZINAZOENDA WALA KURUDI KTK BARABARA KUU YA KWENDA DAR KUTOKA MORO JANA


 JUU PICHANI HILO NI MOJA KATI YA MAGARI YALIOPATA AJARI




KUKATOKEA MSONGAMANO WA MAGARI BAADA YA NJIA KUZIBWA  PICHA JUU





Ikazuafolen ya kutisha toka maeneo kabla mikese mpaka kupita mbele kabisa ya maeneo ya miseyu morogoro kama foleni ya takriban zaid ya 20 km


Ilikuwa ni pata shika nguo kuchanika jana (jumatano tar12/12/2012),
katika barabara kuu ya magari maarufu kama DAR MORO ,Maana ilikuwa hakuna gari zinazotoka dar kwenda moro kupita na hakuna gari pia zinazotoka  MORO kwenda DAR kupita ni malori yalifunga njia baada ya kugongana na kuziba njia, kila upande ukawa untafuta pakupitia hakuna,

ILICHUKUA KAMA SAA 4 KUPATIKANA NJIA MAANA TANGU ROLI ZILIPOGONGANA MIDA YA SAA 10 ALFAJIRI MPAKA MIDA YA SAA2 NA NUSU HIVI NDIO UKAPATIKANA UFUMBUZI BAADA YA MIDA HIYO KIGOGO MMOJA KUWA KATIKA MSAFARA IKAARAZIMIKA PAPATIKANE UFUMBUZI.

TUKIO HILO ILIBIDI WANAJESHI WAJE KUTOA MSAADA BAADA YA POLISI USALAMA BARABARANI KUONEKA WAMEZIDIWA