31.12.12

LEO NI SIKU KUBWA TANZANIA KWA KUWA NA MATUKIO MATATU MAKUBWA KUWAHI KUTOKEA TANZANIA




 Picha juu ikimuonyesha Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania  Mh. JAKAYA MRISHO KIKWETE akihutubia taifa 



picha juu ikionyesha jinsi ya masafa ya analogia yanavyo hamia dijitali


 picha juu hapo ikionyesha mwaka mpya wa 2013


LEO NI SIKU KUBWA SANA HAPA TANZANIA KUWAHI KUTOKEA KWA KUJUMUISHA MATUKIO MATATU MAKUBWA,MAWILI KATI YA HAYO KUWA NA HISTORIA YA KUBWA AMBAYO HAYAJAHI KUTOKEA TZ, MOJA NI TUKIO LA KUTANGAZWA KWA MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI ILIFANYWA MWAKA HUU,AMBAPO MH. RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA (MH.JAKAYA  MRISHO KIKWETE) KUTARAJIWA KUTANGAZA MATOKEO HAYO LEO USIKU,PIA KUNA TUKIO LA KUZIMWA KWA MITAMBO YA ANALOGIA KUHAMIA DIGITAL AMBAPO ZOEZI LITANZIA NA MKOA WA DAR ES SALAAM NA KUFUATIA NA MIKOA MINGINE MBAPO ZOEZI HILI LITAISHA MWEZI WA NNE MWAKA 2013,MPAKA KUFIKIA MWEZI NNE 2013 MIKOA ILIYOBAKIA INATAJIWA KUFIKIWA NA MABADILIKO HAYO,NA MWISHO NI SHAMRASHARA ZA KUUGA MWAKA 2012 KUKARIBISHA 2013 AMBAPO ZINATARIJIWA KUSHEREKEWA NA DUANIA NZIMA