21.11.12

NANI KAMA MAMA,



Mpende mama kuliko chochote ,kakuzaa,kakulea kateseka toka utoto wako mpaka umekua.Mama ndio kila kitu hakuna ulimwengu bila ya kuwa na mama.