1. KASUKU NDEGE WA AJABU
Kasuku ni ndege pekee anayeweza kumugiliza mtu kuongea, unauwezo mkubwa pia kukumbuka mazuri na mabaya,
Na anaweza kutumika kutoa ushahidi na kulingana na majalida mbambali yaliwahi kuandika sifa zake, hii ni kutokana na kuwa ndege pekee mwenye uwezo mkubwa wa akili kuliko ndege wengine,kwa kingereza wanasema "adept" hii ni kwa mujibu wa tovuti ya wikipedia
2.URANIUMU
Uranium ni nin?
Uranium ni madini ambayo asilia,yenye "hiki mionzi" kingereza "Radioactive element".
Ni madini ambayo ni asili ,hutokea katika miamba,"rocks" , udongo,na katika hewa na pia yanaweza kusambaa katika mazingira kwa upepo,maji.
Pia yanaweza kutokea katika mazingira kutokona na milipuko ya volkano.
Madhara ya Uranium
Uranium ina madhara mengi katika afya ya mwanadamu.Madhara ni mengi kama vile, husababisha kuhalibika kwa mfumo wa kibofu cha mkojo kwa wanadamu na wanyama,kama ikiingia tumboni,
Inachangia pia kuharibu mfumo wa mapafu,inpunguza uwezekano wa kuzaa,"Decrease fertility", inaadhiri pia ngozi kwa wanadamu na wanyama," skin irritation and mild skin damage to animals".
Uranium inaweza kuingia katika mwili kwa njia ya hewa, au kula kitu au chakula chenye "hiki" kwa kingereza "elements" za uran uraniumium.
Jinsi ya kuepuka madhara yatokanayo na uranium,ni kwa kupuka kutumia vyakula,maji au vitu vyenye hiki (elements) za uranium.Pia epuka kaishi maeneo yenye vyanzo vya madini ya uranium,kutoka katika mtandao mitandao mbalimbali ya jiolojia na madini.
Makala hizi imendikwa na kutafsiriwa na magesa melkiory (blogger).