21.11.12
RAIS AMBAYO NI MASKINI WA KUTUPWAKULIKO WOTE DUNIANI HUYU HAPA
Jamaa anaitwa JOSE MUJICA maarufu kama PEPE,wenyewe wanamuita PEPE MUJICA,ni Rais wa URUGUAYI tangu 2010,kabla hajawa Rais alishawahi kuwa wazir wa MIFUGO,KILIMO NA UVUVI huko huko kwao URUGUAY.Jamaa ni mpiganaji,bunge lilimpangia mshahara wa dola za kimarekan kiasi cha sh. 12,000/= ($ 12,000/=) Sawa na sh 17.6 Tsh milion,jamaa hajawahi hata siku moja kuchukua hiyo fedha yake ya mshahara ameagiza wapewe maskini na wajasiliamali wadogo wadogo,ANAPOKEA MILIONI TATU.Tukiiga mifano kama hii TZ njaa hakuan tena