22.11.12

GRADUATION SUA


HAPA NI HIGH TABLE



Mgeni rasmi na wengine wataakaa hapa,




PhD wao ni hapo,watakuwa hawna bugdha kabisi bemben ya blass bendi.

Hapa Masters wajameni pembeni yao watakuwa staff members  wa chuo.

maoneo ya katika  na baadhi mbele watakaa Degree holders



Hapa wanakaa Certificate na Diploma,Ukiangalia hii sehemu ukilinganisha na zingine,kimazingira,vitu nk iko tafaut kidogo hapo ndio gape linapoanzia,patamu hapoooo