Muugizaji maarufu wa comedy anayejulikana kwa jina maarufu la Sharobalo au Sharo milionea amefarki dunia,habari zilizotufikia hivi punde kuwa msanii huyo maarufu wa filamu,comedy na muziki hapa nchini maarufu kama Sharobalo au Sharo milionea (pichani akiwa na mzee mwajuto)amefariki dunia kwa ajari ya gali ilotokea huko Tanga.Kamanda wa Polisi mkoani Tanga Costantine massawe amesibitisha kutoa kwa kifo hicho na kwamba kimetokea katika barabara ya muheza segera huko Tanga, ametoa na bwana ametwaa jina la bwana ribalikiwe.
picha mbali mbali za sharobalo enzi za uhai wake.
short clip za jamaa a.k.a sharobalo enz za uhai wake