Sakata la GESI ya mtwara limezuia kizaa zaa huku wabunge wengine kuangua kilio bungen kwa hasara iliyotokana na nyumba kuchomwa moto,na wengine kutoa maoni yao mbalimbali,sasa
KAMATI teule inatarajiwa kuundwa kuchunguza sakata la mgogoro wa gesi MTWARA, akizungumza bungen SPIKA wa BUNGE Anne Makinda kabla ya kuahirisha kikao cha 1 cha bunge la 10 mjini DODOMA alisema kamti hiyo itaundwa rasmi bungeni na wajumbe wake watatangazwa ili kwenda mtwara kuchunguza kiini cha tatizo kutokana na taarifa mbalimbali zinazotokana na vyombo vya habari.
Alimalizia kwa kusema bunge ni chombo muhimu cha kuleta Amani hivyo tuwe na subiri juu ya hili.