HIZI NDO ALAMA ZA FREE MARSON
Hizi ni baadhi tu ya alama ambazo zinatumiwa na wenzetu hawa wanaojiita free marson.Si mchezo maana ukitazama kwa makin unaweza kuta hata wewe umeshawahi kutoa ishara ka hizi,japo yaweza kuwa si kwa kukusudia lakin bila ya kujua,sasa angalia vizuri alafu tafakali na uchukue hatua.